Rais wa Bendi ya Malaika Christian Bella
msanii ambaye anafanya poa kwa sasa kwa nyimbo mbalimbali alizofanya
mwenyewe na kushirikiana na wasanii wengine kufanya vizuri kwenye vituo
mbali mbali vya redio na luninga.
Katika kuelekea mwaka 2016 kila msanii
ameufunga mwaka kwa staili yake na kujipanga kuanza mwaka wa 2016 kwa
mtindo tofauti, kwa upande wake Christian Bella amejipanga kuufungua
mwaka 2016 kwa kuwasaidia vijana wanaoishi mazingira magumu lakini
wanavipaji vya kuimba ili waweze kutimiza malengo yao.
0 comments :
Post a Comment