ZITTO AMKOSOA WAZIRI MUHONGO HATUA ZA KUTAKA KUSHUSHA BEI YA UMEME


@nkupamah blog


 DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe ameijia juu hatua ya Waziri wa Nishati na Madini Professa Muhongo ya kutaka kupunguza bei ya umeme nchini kwa kudai kuwa suala hilo halitawezekana kutokana na uchakavu wa mitambo ya kuzalisha umeme na
tozo ambayo Serikili huilipa kampuni ya IPTL zaidi ya bilioni 8 kwa mwezi
Zitto amesema kuwa jambo  la kufanya kabla ya kutangaza hatua hiyo ni pamoja na kutekeleza agizo la Bunge la kuitaka kuichukua mitambo ya IPTL ili kuepukana na gharama hizo za kila mwezi
Bei ya Umeme ishuke? Itashukaje na Gharama za Umeme kuielemea TANESCO? Bei ya Umeme haipangwi kwa kuangalia bei ya…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment