DAR ES SALAAM
MBUNGE Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewajia
juu watu wanaong’ang’ania uchaguzi mkuu wa
Zanzibar urudiwe,ambapo
amewataja watu hao kama watu waliotokwa na fahamu
Hii inakuwa ni mara ya tatu kwa Zitto
kuwajia juu watu wanaopingana na matokeo halisi ya uchaguzi mkuu wa
Zanzibar ambapo mara kadhaa amekuwa akiwawakia watu wa namna hiyo.
Kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? Kuna watu wamejitoa fahamu wanataka uchaguzi wa Rais na Wawakilishi urudiwe. CUF ilishinda…
Posted by Zitto Kabwe on 24 Disemba 2015
0 comments :
Post a Comment