Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akizungumza na washiriki wa Mafunzo
ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi(hawapo pichani),wakati alipofungua mafunzo hayo yenye lengo la
kuwajengea uwezo watumishi wapya, katika ukumbi wa mikutano wizarani
hapo,jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Numbilya Mpolo.
Washiriki wa Mafunzo ya awali kwa
Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi
, wakimsikiliza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak
Abdulwakil(hayupo pichani), wakati alipofungua mafunzo hayo katika
ukumbi wa mikutano wizarani hapo,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na
Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Lilian Mapfa, akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi
wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi(hawapo pichani),kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Utawala na Usimamizi wa Idara ya
Wakimbizi, Deusdedit Masusu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(watatu kutoka kushoto), akiwa katika
picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa
Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, muda mfupi baada ya kufungua
mafunzo hayo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam wanne
kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa na wa pili kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Numbilya Mpolo .(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,MOHA
0 comments :
Post a Comment