BERLIN,Ujerumani
Kichwa cha nguruwe kimepatikana
kikiwa kimefunikwa na kurasa za Quran katika mfuko
katika msikiti mmoja
mjini Berlin nchini Ujerumani .
Kichwa hicho kimepatikana katika eneo
ambalo lina wakazi wengi wenye asili ya kituruki katika mji wa Kreuzberg
katika msikiti unaoitwa Mevlana katika mji huo.
Polisi mji Berlin imeanzisha upelelezi ili kuwatia mbaroni waliohusika na kitendo hicho.
Chanzo:Mtembezi.com
0 comments :
Post a Comment