Waziri
Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa China Nchini
Dkt. Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini
Dar es slaam Desemba 1, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Sudan nchini,
Dkt.Yassir Mohamed Ali Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 1,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa Sudan
nchini,Dkt. Yassir Mohamed Ali kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 1, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Majaliwa Kassim Majliwa akizungumza na balozi wa Korea nchini Mhe.
Chung Il ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Desemba 1, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kinyago balozi wa
Korea nchini, Mhe. Chung Il ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dar es salaam Desemba 1, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments :
Post a Comment