Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
maji safi (ZAWA) Dkt.Mustafa Ali Garu (kulia) wakati alipotembelea
Uimarishaji wa mradi wa maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya
na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa
Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya maji
safi (ZAWA) Dkt.Mustafa Ali Garu (kulia) wakati alipotembelea
Uimarishaji wa mradi wa Maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na baadhi ya wanachama cha Mapinduzi na Wananchi wa
Makunduchi wakati alipotembelea Mradi wa Uimarishaji wa Maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati
Ramadhan Abdalla Shaaban (wa pili kulia) wakati alipotembelea Mradi wa Uimarishaji wa Maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi
Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na
Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman,[Picha na Ikulu.]
0 comments :
Post a Comment