Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) kushoto
akipata maelezo toka kwa Mtaalamu wa Mionzi Timothy Mnkai mara baada ya
kukabidhi mashine hiyo ya X-Ray ya kisasa yenye thamani ya Tsh. Milioni
85,Katika hospitali ya Ilala jijini Dar es Salaam nakufanya gharama za
kupiga X-Ray kushuka hadi Elfu Tatu badala ya elfu kumi na Tano za awali
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) akiwaonyesha waandishi wa habari na Viongozi wa Chama cha Mapiduzi (pichani hawapo) CD
hiyo ya X-Ray inayotumika kwa daktari kutambua matatizo ya mgonjwa
tofauti na mfumo uliozoweleka kwa kutumia X-Ray ya kuweka kwenye taa
maalumu au kusoma kwa kuangalia mwanga wa nje au taa, kulia ni Fundi
Sanifu wa Mionzi Elvis Challe
Mwananchi Ally Madenge akifanya malipo kwa njia ya kisasa ya Viza Cad na nyuma yake ni mteja anayekusubiri kuhudumiwa Mbunge
wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) wa Tatu kushoto akitowa maelezo kwa
Viongozi wa Chama cha Mapiduzi mara walipofika hospitali ya Mkoa ya
Amana Dar es Salaam kutembelea Hospitali hiyo kujionea X-Ray hiyo baada
yakufungwa katika chumba maalum yenye Dhamani ya Tsh. Milioni 85,
aliyoipatia Hospitali hiyo na kufanya Gharama ya kupata huduma hiyo
kushuka hadi Elfu tatu badala ya Tsh. elfu kumi na Tano za awali
0 comments :
Post a Comment