Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka vituo mbalimbali mjin Moshi.
Mkurugenzi
wa Zara Tanzania na Zara Charity,Zainab Ansel akishiriki mbio hizo
pamoja na mdogo wake Rahma wakikimbia mbio za Km 5.
Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume ,Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Baadhi ya washiriki wa mbio hizo kutoka nje ya nchi wakimalizia mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Usalama kwa wakimbiaji uliimalishwa zaidi.
Mwanariadha Banuelia Bryton akihitimisha mbio akiwa nafasi ya kwanza katika mbio za KM 10 kwa upande wa wanawake.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania,Zainab Ansel akimalizia mbio za KM 5.
Askari
Polisi wa Kikosi cha usalama barabarani ,Salatory Mtanange
akiwasindikiza washiriki wa mbio hizo waliokuwa mwishoni kabisa huku
akikimbia nao kwa karibu.
Baadhi ya washiriki wa mbio za KM 3 katika mbio za Kilimanjaro Health Run 2015.
Kampuni ya Vinywaji baraidi ya Bonite ya mjini Moshi ilidhamini zawadi kwa washindi wa mbio hizo.
Baadhi
ya wakurugenzi wa mashirika mbalimbali waliofika kwa ajili ya mbio za
Kilimanjaro Health Run ambazo hufanyika kila mwaka.
Katibu
wa Chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro ( KAA ),Amini Kimaro
akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania ,Zainab Ansel akizungumza katika sherehe za kilele cha mbio hizo.
Mshind wa kwanza wa Mbio za Km 10 ,Lameck Msiwa akikabidhiwa zawadi zake mara baada ya kuibuka mshindi katika mbio hizo.
Mshindi wa kwanza kwa wanawake katika mbio za KM ,10 Banuelia Bryton akikabidhiwa zawadi zake.
Mshind kwa upande wa walemavu pia alijipatia zawadi zake.
Diwani wa kata ya Longuo ,Ray Mboya akizungumza katika sherehe mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo.
Na @nkupamah blog
0 comments :
Post a Comment