Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela Afungua mafunzo ya ulengaji Shabaha

S1
Mkuu wa Wilaya ya Iringa akipokea maelezo toka kwa Mshauri wa Mgambo wa Mkoa Luteni Kanali J. Kitita
S2
Mkuu wa Wilaya Bwana Richard Kasesela akiongea na wana Mgambo na kuwaasa kuwa waaminifu kwani wao ndio walinzi namba moja katika nchi kwani wao wako karibu sana
na wananchi. pia Mkuu wa wilaya alisistiza suala la usafi kama nguzo moja wapo ya uadilifu.
S3
Mkuu wa wilaya akizindua mafunzo ya shabaha. alifanikiwa kulenga 10 kati ya 30 zilienda kwenye shabaha
S4
Mkufunzi wa mafunzo akihesabu shabaha.
S5
Mkuu wa wilaya akionyesha jinsi ya kutumia SMG
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment