MSANII:JOSE MARA AELEZEA ALIVYOTUNZWA DOLA 1000

Nkupamah media


Mtangazaji na msanii wa kundi la muziki wa dansi la Mapacha Watatu ameeleza kuwa katika maisha yake ya kimuziki aliwahi kutunzwa kiasi cha dola 1000 za kimarekani na kuongeza kuwa katika
utunzwaji wa wasanii kunachangamoto mbalimbali ambazo usipokuwa makini unaweza kujikuta unamsaliti mkeo au mpenzi wako.IMG_1694jose-1024x683Akizungumzia changamoto hizo Jose Mara amesema kuwa unaweza ukatunzwa kiasi Fulani cha pesa na kukuta pesa hizo zimeandikwa namba za simu za aliyekutunza  na kueleza kuwa upande wake Jose Mara amesema yeye hawezi kushawishika kumsaliti mke wake kwani anamuheshimu na haitaji kuugua maradhi yanayosababishwa na ngono nzembe.joseVilevile Jose Mara amevitaka vyombo vya habari kuunga mkono mziki wa dansi kama wanavyofanya kwenye aina nyingine ya muziki kwani kutouunga mkono ni kuua mziki huo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment