Proffessa,John Adamson Mwakilima akitunuku Shahada
ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life
Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi
mkoani hapa mhitimu Walukani Luhamba ambaye ni Ofisa Mfawidhi wa

Sumatra Mkoa wa Tanga juzi.
Dr.Walukani Luhamba akipongezwa na Familia yake mara
baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika
maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary
USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi Mkoani Pwani juzi

………………………………………………………………………………….
NA MWANDISHI WETU,PWANI.
WAHITIMU wanaomaliza vyuo vikuu hapa nchini wametakiwa kumsaidia Rais
John Magufuli kupambana na rushwa, ufisadi uliokithiri kwa kuhakikisha
hawajihusishi na masuala hayo katika maisha yao ikiwemo kutumia
taalumu walizozipata kujipatia maendeleo wao na jamii zinazowazunguka.

Ushauri huo ulitolewa juzi na Mhitimu wa Shahada ya Udaktari na
Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life
Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi
mkoani hapa Walukani Luhamba mara baada ya kutunikiwa cheti cha
kuhitimu kwenye mafalali iliyofanyika mjini hapa.

Alisema kuwa wahitimu hao wanaweza kutumia vizuri taaluma zao
walizozipata kuhakikisha wanazitumikia jamii zao ikiwemo kuwa wabuni
katika kujipatia vipato halali ambavyo vinaweza kuwasaidia kwenye
kukabiliana na maisha badala ya kusubiriwa kuajiriwa.

Dokta Luhamba alisema wahitimu hao wanapaswa kutambua wao wanafursa
kubwa ya kuibadilisha jamii ili waweze kuondokana na masuala ya jamii
tegemezi badala yake watumia nafasi walizonazo katika kujiletea
maendeleo.

“Nchi yetu ina rasilimali nyingi sana ambazo zinaweza kutumika vizuri
katika kuhakikisha wanajiletea maendeleo hivyo viongozi waliopewa
dhamana na wananchi waangalie alama za nyakati na wafanya kazi kwa
uadilifu mkubwa kama serikali ya sasa inavyofanya shughuli zake chini
ya Rais Dr. Magufuli “Alisema Luhamba

Aidha aliwataka kuwa mabalozi wazuri kwa kufanya kazi zao kwa uadilifu
na hekima kubwa ili kuchochea kazi ya ukuaji wa uchumi kwao na nchi
kwa ujumla sambamba na kusaidia serikali kukabiliana na wabadhirifu wa
mali za umma.

“Lakini pia tuhakikisha tunakuwa mstari wa mbele kupiga vita rushwa
na kumuombea Rais wetu Magufuli ili mungu aweze kumtia nguvu za kuweza
kutekeleza kazi zake nzuri alizozianza kwa ueledi mkubwa na ufanisi
katika kulipatia maendeleo Taifa letu “Alisema Walukani.

Katika mahafali hayo zadi ya wahitimu 30 walitunukiwa vyeti na mgeni
rasmi ambaye alikuwa ni Proffesa John Adamson Mwakilima lakini kwa
upande wa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya
Uongozi walikuwa wahitimu wawili akiwemo Ofisa Mfawidhi wa Mamlaka ya
Usimamizi wa Usafiri wa nchi kavu na Majini (Sumatra) Mkoa,Dr.Walukani
Luhamba.

Proffesa Mwakilima aliwataka wahitimu hao kuhakikisha wanakuwa
mabalozi wazuri katika jamii zao kwa kutumia vizuri taaluma
walizozipata katika kuinua uchumi wao na wananchi wanaowazunguka.

0 comments :
Post a Comment