Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiangalia
moja ya kazi za wasanii katika kiwanda cha kutengenezea batiki
alipotembelea ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo hii jijini
Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia)
akimkaribisha kwa furaha waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape
Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye(kushoto)
akiongea na menejimenti ya shirika la Utangazaji Tanzania-TBC(hawapo
pichani) wakati alipotembelea makao makuu ya shirika hilo ili kujua
changamoto walizonazo na jinsi gani atawasaidia kama waziri mwenye
dhamana.
0 comments :
Post a Comment