Dhana potofu dhidi ya Uislamu yapigwa vita

Mamia ya misikiti nchini Ufaransa imefunguliwa wageni katika juhudi za kuanzisha mazungumzo ili kuondoa dhana potofu kuhusu Waislamu na Uislamu.
Raia wamekaribishwa kunywa chai na kufanya mijadala pamoja na
sala.
Mpango huon unajiri mwaka mmoja baada ya wapiganaji wa Islamic State kushambulia gazeti la Cherlie Hebdo pamoja na duka la jumla la wayahudi mjini Paris.
Mkuu wa shirika la waislamu nchini Ufaransa Anouar Kbibech wa baraza la Waislamu amesema kuwa mkusanyiko huo unalenga umoja ulioonyeshwa wakati wa shambulizi hilo ili kusaidia kuimarisha utangamano wa kitaifa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment