Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizungumza na balozi Namibia nchini, Mhe. Japhet Isaack ambaye
alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016
kuaga.
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa
akimkabidhi Balozi wa Namibia nchini aliyemaliza muda wake
, Mhe. Japhet
Isaack zawadi ya ramamni ya Tanzania iliyochongwa kwenye mti wa
mpingo ili aendelee kuikumbuka Tanzania atakapoondoka. alozi
alikwendaofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 8, 2016
kuaga.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akimkabidhi Balozi wa Tanzania nchini, Japhet Isaack zawadi ya kinyago
cha pundamilia ili atakapoondoka nchini abaki na kumbukumbu ya
wanyamapori ambao nimuhimu kwa utalii hapa nchini. Balozi huyo alikwenda
Ofisini kw Waziri Mkuu jijini Dares salaam Januari 8, 2016 kuaga.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akisalimiana na balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Pekka Hukka
kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Januari 8, 2016.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akizungumza na balozi wa Finland nchini Mhe. Pekka Hukka kabla ya
mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8,
2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 comments :
Post a Comment