Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Mhe. Song
Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 5,
2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mhe. Song
Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Balozi
wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini Mhe. Roeland Van de Greer Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Balozi wa
Jumuiya ya Ulaya hapa nchini Mhe. Roeland Van de Greer Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Jumuiya
ya Ulaya hapa nchini Mhe. Roeland Van de Greer Ikulu jijini Dar es
salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za
Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe. Hazem M. Shabat Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya kupokea Hati za
Utambulisho za Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe. Hazem M. Shabat
alifanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
PICHA NA IKULU


0 comments :
Post a Comment