Ugeni kutoka wa Ubalozi wa Uturuki wamtembelea waziri Makamba

NUA1
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu
Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
NUA2
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wa kwanza kushoto akielezea jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp wa pili kutoka kushoto mapema hii leo alipomtembelea ofisini kwake, wengine ni Bw. Berat Colak aliyeambatana na balozi na anayefuatia Dr. Julius Ningu Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. 
NUA3
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akifafanua jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp alipomtembelea ofisini kwake kwaajiri ya utambulisho na kumpongeza kwa kuteuliwa kwa nafasi ya Uwaziri mapema hii leo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment