Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Usiku Machinjioni Dar

WAZIRI wa kilimo mifugo na Chakula,Mhe Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam.

Katika ukurasa wake rasmi wa twitter,Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni kwenda kujionea mwenyewe jinsi Serikali inavyopoteza mapato katika sekta hiyo ambapo amebaini kuwa zaidi ya mapato ya ng’ombe 1107  hupotea kila siku na kuishia mifukoni mwa wajanja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment