Mkufunzi
wa Warsha ya ilioandaliwa na Bank of Africa Erick Chrispin akitowa Mada
wakati wa Warsha hiyo iliowajumuisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali
Zanzibar katika Kuboresha na Kujenga Biashara katika kutengeneza Mpango
wa Biashara iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mazizini Zanzibar.
Washirikib wa Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini Mada zinazowesilishwa wakati wa Warshi hiyo ilioandaliwa na Bank Of Africa.
Mtoa
Mada Ndg Erick Chirispin akisisitiza jambo wakati wa kutoa Mada katika
Warsha hiyo. Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara wa Zanzibar katika Kujenga
na Kuboresha Biashara katika kutengeneza Mpango wa Biashara.
Washiriki wakiwa Ukumbi wa Mkutano wakifuatilia Mada .
Washiriki wakichanjia wakati wa warsha hiyo.
Mshiriki
wa Warsha ya kuwajengea Uwezo wa kutengeneza Mpango wa Biashara na
Kujenga na Kuboresha Biashara akichangia wakati wa warsha hiyo.
Mtoa
Mada Ndg. Erick Chrispin akionesha kitabu chenye mpango wa Biashara
wakati wa warsha hiyo kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar na Wadau
ilioandaliwa na Bank Of Africa katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mazizini Zanzibar.
Washiriki
wa Warsha ya Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara Zanzibar katika kuandaa
Mpango wa Biashara wakiwa nje ya ukumbi wakibadilishana mawazo wakati wa
mapunziko ya mchana.
0 comments :
Post a Comment