Waziri wa Ardhi, Mhe. William
Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa
kumi na sita (16) ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa
sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
0 comments :
Post a Comment