HIKI NDIYO CHANZO CHA UGOMVI KATI YA JENNIFER LOPEZ NA MARIAH CAREY

Nkupamah media:

Jennifer Lopez amejibu swali kuhusu beef yake na pop staa Mariah Carey baada ya kauli ya Mariah iliyosamba dunia nzima. Mariah alisema hamjui Jennifer Lopez kitu ambacho kilishtua wengi na kutengenezewa picha za utani kwenye mitandao ya kijamii.
J Lo amesema “She does say that. She’s forgetful, I guess, I don’t know. We’ve met many times. I don’t know. I don’t know her that wellNi msahulifu kama amesema hivyo, ila tumekutana mara nyingi  ila simjui sana”
Mwaka Jana J LO alisema hana tatizo na Mariah Carey kabisa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment