MH. DK HAMISI KIGWANGALA AONGOZA MATEMBEZI YA ” KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA “

Nkupamah media:

Naibu Waziri wa Afya, Maendejana ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akijiandaa kuanza matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Naibu Waziri wa Afya, Maendejana ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiwa sambamba na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.(P.T)
Naibu Waziri wa Afya, Maendejana ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Naibu Waziri wa Afya, Maendejana ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washirikimatembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment