NKUPAMAH MEDIA:
Lupita Nyongo mwenye wasifu mkubwa na fedha zinazotokana na uchezaji filamu,12 years of slave sinema iliyompa heshima kubwa duniani mwaka 2013 nakumpa tuzo ya Oscar,Academy year na best supporting actress.Elimu yake anashahada mbili,Uraia wake wa kuzaliwa mexico nakukulia Kenya.Pamoja na hayo yote
uvaaji wake ni nadhifu na kawaida ukilinganisha na fedha anayomiliki.




0 comments :
Post a Comment