BARAZA LA WAFANYAKAZI WA SEKTA YA UJENZI LAKUTANA


R1Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga, akiongea na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi sekta ya ujenzi kabla ya kulifungua rasmi baraza hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam.
R4Mtafiti wa masuala ya Hifadhi ya Jamii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bw. Michael Semiono akifafanua jambo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Ujenzi.
R2Baadhi ya Watendaji Wakuu wa Sekta ya Ujenzi wakiwa katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi sekta ya ujenzi lililofanyika jijini Dar es Salaam.
R3 Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi (sekta ya ujenzi) wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa sekta hiyo Eng. Joseph Nyamhanga, katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kililofanyika jijini Dar es Salaam.
R5Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga (wa kwanza kulia) akifatilia hoja katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment