Rais Magufuli Awasili Jijini Mwanza Jana Akielekea Chato.....



Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametua jijini Mwanza akielekea Chato na kutoa maagizo ya kukamilishwa kwa ukarabati njia ya ndege na kuruhusu barabara iliyokuwa imefungwa na uongozi wa Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuzuia waendesha bodaboda.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment