SSRA YAKUTANA NA WADAU WA CHAMA CHA WAAJIRI TANZANIA (ATE) KUJADILI MABADILIKO NA MAENDELEO MBALIMBALI KATIKA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII

Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe, akizungumza wakati akiufungua mkutano wa mamlaka hiyo na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana. 
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam jana.
Washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na
 wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na
 udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakifuatilia mada kuhusuMfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada hiyo
 wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa wao, wakati wa mkutano huo, 
Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya
Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa
wao, wakati wa mkutano huo, 
Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki, wakiteta jambo wakati wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya
Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa
wao, wakati wa mkutano huo, 
Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo,Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe (mstari wa mbele katikati), aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe (mstari wa mbele katikati), aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment