Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha wabunge kikiwa na
kusudio la kupokea taarifa ya ukomo wa bajeti ya 2015/2016 ambapo hivi
karibuni wanataraji kurudi bungeni kwa ajili ya kupitisha bajeti ya
2016/2017.
Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya mawaziri baada ya
kuongoza kikao cha Wabunge cha kupokea mapendekezo ya mpango wa
maendeleo na ukomo wa bajeti ya serikali kwenye kituo cha mikutano cha
kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 6, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments :
Post a Comment