Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akifungua mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za
Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na
Jopo la Ngazi ya Juu la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon
alilolituewa Mwanzoni mwa huu, kusaidia kufanya uchambuzi na kutoa
mapendekezo ya namna ya kuchagiza kasi ya kuwezesha wanawake kiuchumi
ifikapo 2030. uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Hyatt Hotel Dar es
salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa katika picha ya pamoja na Jopo la ngazi ya Juu la Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa la kuwezesha wanawake kiuchumi Baada ya kufungua
mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za Ukanda wa
Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo unazungumzia kuhusu kusaidia
kufanya uchambuzi na kutoa mapendekezo ya namna ya kuchagiza kasi ya
kuwezesha wanawake kiuchumi ifikapo 2030. Umefanyika April 29,2016.
(Picha na OMR)




0 comments :
Post a Comment