Mrema Amekubali Yaishe Jimbo La Vunjo .......Mbatia Athibitishwa Rasmi Na Mahakama.


Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mh.James Mbatia pichani kati,amethibitishwa na mahakama kuu kuwa mbunge halali wa  Jimbo hilo baada ya Augustino Lyatonga Mrema  kuifuta kesi hiyo

 Kesi hiyo ya uchaguzi katika jimbo la Vunjo ilifunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Augustino Lyatonga Mrema.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment