Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo
chana
Msemaji
wa CCM, Ole Sendeka akipokewa kwa ngoma maalum na kinamama wa Mjini
Moshi alipowasili kuhutubia mkutanowa hadhara katika eneo la Bomambuzi,
Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili eneo la
Bomambuzi, Pasua mjini Moshi leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Kilimanjaro Iddi Juma.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana wa CCM, Juma Raibu ambaye ameshinda kesi ya Udiwani
katika Kata ya Mbomambuzi, akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wakati wa
mkutnao wa hadhara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka uliuofanyika katika
eneo hilo la Bomambuzi leo.
Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa mkoa wa Kilimanjaro Mercy Siro (katikati) akiwa kwenye mkutano huo wa hadhara
Mjumbe
wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao
Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu
wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika
eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
Mjumbe
wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao
Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu
wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika
eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma akimkaribisha kuzungumza Msemaji
Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la
Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo.
Msemaji
wa CCM, Ole Sendeka akipanda jukwaani kuhutubia mkutnao wa hadhara
uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo
Msemaji
Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara
uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro
Mfanyabiashara
katika soko la Pasua, akimsikiliza kwa makini Msemaji Mkuu wa CCM, Ole
Sendeka wakati wa mkutano wa hadahara uliofanyika eneo la Bomambuzi,
mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo.
Wananchi
wakimsikiliza Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini
Moshi mkoani Kilimanjaro
Wananchi
wakimshangilia Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua
mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
"Baada
ya kumalizika uchaguzi Mkuu na CCM kupewa idhini na wananchi kuunda
serikali ya kuongoza nchini, sasa ilani hii ndiyo inayotekelezwa nchini
kote" akisema Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka huku
akionyesha kitabu cha ilani hiyo, alipohutubia mkutano wa hadhara
uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro
Mmoja
wa wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanywa na Msemaji Mkuu
wa CCM, Ole Sendeka akionyesha hisia zake za kuvutiwa na hotuba.
Msemaji
Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akionyeshana jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa
Vijana wa CCM Juma Raibu, kenye mtandao kupitia simu, wakati wa mkutano
wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
leo. Raibu ambaye alikuwa mgombea wa Udiwani Kata ya Bomambuzi,
alimweleza Ole Sendeka kuwa ameibuka mshindi katika kesi ya kupinga
matokeo
Msemaji
Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano
wa hadhara aliofanya eneo la Bomang'ombe, Pasua mjini Moshi mkoani
Kilimanajaro leo.
Msemaji
Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano
wa hadhara aliofanya eneo la Bomang'ombe, Pasua mjini Moshi mkoani
Kilimanajaro leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
0 comments :
Post a Comment