Msemaji
wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha
Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani
Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo jana. Wapili kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza na kulia ni Katibu
Mwenezi wa mkoa huo, Shabani Mdoe
Katibu
Mwenezi wa mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitambulisha wageni, Msemaji wa
CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka alipofika Ofisi ya CCm mkoa wa Arusha
akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani humo jana akiwa katika
ziara ya kikazi
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha
alipofika Ofisi ya CCM mkoani huni humo akiwa njiani kwenda wilayani
Longido akiwa katika ziara ya kikazi
Vijana
wa bodaboda wakimsalimia Msemaji wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mapokezi
akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani Arusha kikazi. Kushoto ni
wenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
Msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka ukienda wilayani Longido mkoani Arusha
Hiyo Ndiyo Longido
Vijana
wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka ulipokuwa
njiani kwenda Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Ernest
Kahindi, alipofika Ofisi ya CCm ya wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Kata
ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya kikazi
Mwanannchi wa Longido
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akienda katika Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha
Msemaji wa CCM, Ole sendeka akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha jana
Swaga za vijana wa Longido
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwa na kinamama wa Longido mkoani Arusha kwenye Ofisi ya CCM ya Longido
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwa na kinamama wa Longido mkoani Arusha kwenye Ofisi ya CCM ya Longido
Vijana wa bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka kwenda Kata ya Engarenaibor
Kina
mama wakimfurahia Msemaji wa CCM Ole Sendeka wakati msafara wake ukipita
mitaani ulipowasili Kata ya Engarenaibor wilayani simanjiro mkoani
Arusha
Mgambo akielekeza msafara wa Msemaji wa CCM Ole sendeka kwenda kunakohusika katika Kata ya engarenaibor, Longido mkoani Arusha
Wakazi
wa Kata ya Engarenaibor wakimpokea wa burudani Msemaji wa CCM Ole
Sendeka alipowasili katika kata ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya
kikazi jana
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akiwa na wenyeji baada ya kuwasili Kata ya
Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha akiwa katika ziara ya kikazi
jana
Dada
wa Kimasai akilia kutekeleza moja ya mila za kupokea mgeni muhimu,
Msemaji wa CCM Ole Sendeka alipofika katika Kata ya Engarenaibor
wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi
Wenyeji wa Jamii ya Kimasai wakiwa wamejipanga kumpokea Ole Sendeka kwenye eneo la sherehe katika kata ya Engarenaibor
Msemaji
wa CCM, Ole sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili
kwenye uwanja wa sherehe, katika Kata ya Engarenaibor wilayani Longodo
mkoani arusha
Ole
sendeka akimtia baraka kimila mwari wa Kimasai alipowasili kwenye uwanja
wa sherehe katika Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji
wa CCM, Ole Sendeka akiwasalimia wananchi alipowasili katika Kata ya
Engarenaibor kushiriki sherehe za kumpongeza Diwani wa kata hiyo Peter
Ndereko, jana
Msemaji
wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu chawageni baada ya kuwasili kwenye
eneo la sherehe ua kumpongeza diwani wa Kata ya Engarenaibor Peter
Ndereko (kushoto)
Mjumbe
wa NEC, ambaye pia ni Oisa mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi
Makao makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akiwa na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa
wa Sharusha Shaban Mdoe wakati wa sherehe ya kumpongeza Diwani wa Kata
ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha jana
Mwinjilisti
akiiimba wimbo maalum wa makaribisho, Msemaji wa CCM Ole sendeka
alipowasili kwenye sherehe hizo,katika Kata ya Engarenaibor wilayani
Longido mkoani arusha
Wananchi wakiwa wamesheheni uwanjani wakati wa sherehe hizo za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor
Mchungaji
akifanya maombi wakati wa sherehe za kumpongeza diwani wa Kata ya
Engarenaibor wilayani Longido zilizohudhuriwa na Msemaji wa CCM Ole
Sendeka jana
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akifanyiwa maombi maalum wakati wa sherehe za
kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
jana. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akifanyiwa maombi maalum wakati wa sherehe za
kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
jana. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
Mkuu
wa wilaya ya Longido mkoani Arusha Ernest Kahindi akizungumza wakati wa
sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor
Katibu
Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitoa utambulisho wakati wa
sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor, Peter Ndereko
zilizofanyika jana katika kata hiyo
Vijana
wa Kimasai wakionyesha umahiri wao wakati wa sherehe za kumpongeza
Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
zilzofanyika jana
Mjumbe
wa NEC ambaye pia ni Ofisa mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi
makao Makuu ya CCM akimtuza Naanyu Mollel baada ya kufurahishwa na
uimbaji wake wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya
Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji
wa CCM, Ole Sendeka akiwa na Naanyu Mollel baada ya kufurahishwa na
uimbaji wake wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya
Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akimtawaza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani
Longido mkoani Arusha, Peter Ndereko kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa
CCM wa Kata hiyo, wakati wa sherehe za kumpongeza diwani huyo jana
Diwani
wa Kata ya Engarenaibor Peter Ndreko akionyesha zana alipokabidhiwa na
Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kumtawaza kuwa Kamanda wa Umoja wa
Vijana wa CCM wa Kata hiyo jana. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Arusha Lekule Laizer









































0 comments :
Post a Comment