SENDEKA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI BABATI



1
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akionyshwa na Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali (kulia), jinsi Jengo la Ofisi ya CCM mkoa huo, lilivyoungua moto hivi karibuni, Sendeka alipokagua jengo hilo, juzi Aprili11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
2
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Wilaya za Babati Mjini na Babati Vijijini, katika ukumbi wa CCM mkoawa Manyara, juzi Aprili 11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.
(Picha na Bashir Nkoromo).(P.T
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment