Katika kufuatilia mwenendo wa utendaji kazi wa bunge na serikali kwa ujumla, kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko juu ya Spika wa Bunge kufumbia macho ukiukwaji wa maadili unaofanywa na wabunge. Tamko hili limetolewa jioni ya tarehe 27 May, 2016 unaweza kulisoma hapa chini


Blogger Comment
Facebook Comment