Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu Jeshi la Polisi nchini kukataza vyama vya siasa kufanya mikutano kwa sababu ambazo zinatajwa kuwa inaweza kuchangia upotevu wa amani nchini.
Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) imetoa taarifa kuhusu agizo hilo na kulaani jambo hilo ambalo limewazuia kuendelea na mikutano yao baada ya ule uliofanyika Mbagala, Dar es Salaam.
Zaidi unaweza soma taarifa hiyo hapa chini.



Blogger Comment
Facebook Comment