Shirikisho
la Soka barani Africa (CAF) kimetoa orodha ya majina ya wachezaji ambao
watawania Tuzo ya Mchezaji Bora 2016 na Tuzo ya Mchezaji Bora 2016 kwa
wanaocheza ndani ya bara la Afrika.
Moja
ya majina ambayo yametajwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora 2016 ni pamoja
na mtanzania Mbwana Samatta anayekipiga Genk ya Ubelgiji, akiwa katika
orodha ya wachezaji 30 akiwemo Riyad Mahrez, Pierre-Emerick Aubameyang
na Kelechi Iheanacho.
Kwa
Afrika Mashariki wachezaji ambao wamepata nafasi ya kuwania tuzo hiyo
ni Mbwana Samata – Tanzania, Victor Wanyama – Kenya na Dennis Onyango –
Uganda.
Orodha ya wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2016
Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2016 kwa wachezaji wanaocheza ndani ya bara la Afrika.


0 comments :
Post a Comment