Taarifa kutoka Ikulu: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mhandisi James Mitayakingi Kilaba umeanza jana Jumamosi tarehe 08 Oktoba, 2016.

Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi James Mitayakingi Kilaba alikuwa akikaimu nafasi hiyo, baada ya uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dkt. Ally Yahaya Simba kutenguliwa.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

09 Oktoba, 2016
TYSON FURY ASEMA ANATUMIA “PODA” ILI KUJILIWAZA NA “USAKARA” A+ A- Print Email BINGWA wa ndondi katika uzani mzito duniani, Tyson Fury amesema amekuwa akitumia cocaine ili kumsaidia kukabiliana na matatizo ya kiakili. Bondia huyo wa Uingereza amesema kuwa amekuwa akiugua ugonjwa wa akili kwa miaka kadhaa na hajafanya mazoezi tangu mwezi Mei. “Nimekuwa nje nikilewa, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumapili na kutumia cocaine,” Fury aliliambia jarida la Rolling Stones. Hatua hiyo inajiri siku mbili baada ya Fury kudai katika mitandao ya kijamii kwamba amejiuzulu, kabla ya kukutana na madai hayo saa tatu baadae akisema alikuwa akifanya utani. Akizungumzia kuhusu masuala ya afya yake, Fury aliongezea: “Siwezi kukabiliana na matatizo hayo na kitu kinachonisaidia ni wakati ninapokunywa ili nitoe matatizo hayo akilini. Wanasema nina ugonjwa wa akili. Nahisi huzuni na ningependa mtu aniue kabla sijajiua

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/10/tyson-fury-asema-anatumia-poda-ili.html#more
Copyright © saluti5

TYSON FURY ASEMA ANATUMIA “PODA” ILI KUJILIWAZA NA “USAKARA” A+ A- Print Email BINGWA wa ndondi katika uzani mzito duniani, Tyson Fury amesema amekuwa akitumia cocaine ili kumsaidia kukabiliana na matatizo ya kiakili. Bondia huyo wa Uingereza amesema kuwa amekuwa akiugua ugonjwa wa akili kwa miaka kadhaa na hajafanya mazoezi tangu mwezi Mei. “Nimekuwa nje nikilewa, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumapili na kutumia cocaine,” Fury aliliambia jarida la Rolling Stones. Hatua hiyo inajiri siku mbili baada ya Fury kudai katika mitandao ya kijamii kwamba amejiuzulu, kabla ya kukutana na madai hayo saa tatu baadae akisema alikuwa akifanya utani. Akizungumzia kuhusu masuala ya afya yake, Fury aliongezea: “Siwezi kukabiliana na matatizo hayo na kitu kinachonisaidia ni wakati ninapokunywa ili nitoe matatizo hayo akilini. Wanasema nina ugonjwa wa akili. Nahisi huzuni na ningependa mtu aniue kabla sijajiua.”

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/10/tyson-fury-asema-anatumia-poda-ili.html#more
Copyright © saluti5
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment