Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kutoka kwa interview yake aliyofanya na FourFourTwo.
Ronaldo ameongea mambo katika interview yake ya FourFourTwo lakini moja kati ya vitu alivyoongea ni kitu gani angependa kufanya baada ya kustaafu soka “Maisha yangu mimi ni soka baada ya kustaafu ningependa kufanya movies”
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Cristiano Ronaldo hivi karibuni alisaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia Santiago Bernabeu hadi mwaka 2021, hata hivyo Ronaldo amesema huo sio ndio utakuwa mkataba wake wa mwisho katika soka.
0 comments :
Post a Comment