Chelsea walisafiri katika dimba la Etihad wakiwa na kumbukumbu ya kumfunga Man City katika mechi za Ligi Kuu England mara ya mwisho February 3 2014, leo December 2 2016 Chelsea iliyochini ya kocha Antonio Conte wamefanikiwa kuifunga Man City goli 3-1.
Magoli ya Chelsea yalifungwa na Diego Costa dakika ya 60, Willian dakika ya 70 na Eden Hazard dakika ya 90 huku goli la Man City likipatikana kwa Chelsea kujifunga dakika ya 45 kupitia kwa Gary Cahill, mara ya mwisho Chelsea kumfunga Man City EPL alimfunga goli 1-0
0 comments :
Post a Comment