Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na
Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya
Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo kufungua Tamasha la tatu la
Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade
Dar es Salaam Edwin N.Rutageruka, mara alipowasili katika viwanja vya
Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo kufungua Tamasha la tatu la
Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko
Mhe, Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya Maisara wilaya
ya Mjini Unguja leo kufungua Tamasha la tatu la Maonesho ya Biasahara
Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji na wageni mbali mbali
waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu
la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa
kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini
Unguja
leo baada kufungua rasmi maonesho hayo
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi waliohudhuria katika Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja
vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja
leo
baada kufungua rasmi maonesho hayo
leo
baada kufungua rasmi maonesho hayo
,
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi waliohudhuria katika
Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja
vya Maisara Wilaya ya Mjini Ungujaleo
baada kufungua rasmi maonesho hayo
,
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,.
Kikundi cha wasanii wa ngoma ya kibati wakiburudisha kwa Viongozi na Wananchi wakati wa Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar
leo,
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
lililofunguliwa leo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Wilaya ya
Mjini Ungujaleo,
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar
leo,
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
lililofunguliwa leo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
sambamba na maonesho
katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Ungujaleo,
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
,(kulia)alipo
kuwa akimkaribisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
katikati
)
kufungua Tamasha la Tatu (3) la Biashara Zanzibar
katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
katikati
)
alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa
Tamasha la Tatu (3) la Biashara Zanzibar
katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo
(kulia)
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali
, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Bakari Hassan Bakari (kushoto),
[Picha na Ikulu.] 10/01/2017.

0 comments :
Post a Comment