Mfanyabiashara
maarufu nchini na mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusufu Manji
amefikishwa mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka moja la kutumia dawa za kulevya aina ya heroine..
Manji
amefikishwa mahakamani leo ikiwa ni siku ya nane tangu alipojisalimisha
na kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, alopoitikia
wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ili kuhojiwa.
Umati
mkubwa wa watu wanaodhaniwa kuwa ni mashahabiki wa Klabu ya Yanga,
ndugu jamaa na marafiki wamefurika katika chumba cha mahakama
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment