"Huwezi kushinda uchaguzi mkuu kwa kudandia habari za udaku za Instagram, kama chama cha siasa hatupaswi kuendeshwa na mtu aliyepo Marekani ambaye anatumiwa tu vihabari na kila mtu..na cha kusikitisha vijana wetu na viongozi wa chama ndo wanakuwa wasambazaji wazuri...Ni lazma tufanye tafiti za kina juu ya changamoto za wananchi na tuzisimamie" - Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa live!!
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment