Baada ya taarifa ya leo March 23 2017 kutoka IKULU iliyoeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kuvuliwa uwaziri, Waziri kivuli wa wizara hiyo ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ametoa maoni yake kuhusu maamuzi hayo. Bonyeza play hapa chini kutazama
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment