Mbunge wa Kigoma mjini na kiongozivmkuu wa ACT ,Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema askari ambao wamemsindikiza mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Paul makonda Clouds si askari wa kawaida,ni askari rasmi kutoka Ikulu ambao ruhusa yao yakutoka nje ya Ikulu hutolewa na Rais au DG usalama
"Nimefahamishwa kuwawaliomsindikiza RC wa Dar Clouds Media ni walinzi maalumu ambao kibalicha kuwatumia hutolewa na Rais auDG Usalama"
Hii hapa video ikiwaonesha askari hao
0 comments :
Post a Comment