Breaking News:Jeshi La Polisi Makao Makuu Wanazungumza Muda Big Kuhusu Polisi Waliouawa



BREAKING: Jeshi la polisi Makao Makuu wanazungumza muda huu kuhusu polisi waliouawa

Baada ya taarifa za kuuawa kwa askari polisi nane eneo la Kibiti Pwani kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika leo April 14 2017 Jeshi la Polisi Makao Makuu wamekutana na waandishi kuzungumzia sakata hilo, Unaweza kufuatilia LIVE kwa kubonyeza play hapa chini



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment