RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, LEO TAREHE 28 APRILI 2017, ATAPOKEA TAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI WA UMMA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA MKOANI DODOMA. FUATILIA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KUPITIA TOVUTI RASMI YA MHE. RAIS   bofya hapa http://www.ikulu.go.tz/