Mange Kimambi
Mwanadada mtazania anaeishi nchini Marekai ambae amejichukulia umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kutokana na harakati zake za kisiasa katika kuikosoa serikali na viongozi bila uoga,Mange kimambi amewaomba watanzania na wadau wengine wanaoguswa na harakati zake wamchangie pesa kidogo ili aweze kuendesha vizuri harakati hizo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Mange Kimambi ameto wito kwa wadau wote kumchangia ili kuweza "kumkeep busy" kwa muda wa masaa 15 kila siku kufanya harakati.
"Nimeona harakati zangu ziendelee based on donation na sio malipo,yaani kwamba atakaeona anaweza kuchangia chochote ili kunikeep online"
"Mtu atakuwa anaweza ku-donate anytime akijisikia yeye kwa amount anayoweza yeye"
0 comments :
Post a Comment