Mwigulu Awajibu Wanaodai Yuko Kimya

 
Baada ya taarifa za baadhi ya watu kudaiwa kutekwa nchini kisha watu mbalimbali wakiwemo Wabunge kuhoji ni kwanini Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ameendelea kukaa kimya bila kutolea ufafanuzi wowote, Leo April 12, 2017 Waziri Nchemba alisimama Bungeni na kuzijibu hoja hizo.
Waziri Nchemba amesema…>>>’Wanasema mbona sisemi juu ya kinachoendelea, hii ni Wizara ambayo siyo kila kitu ni habari, Wizara ina vyombo, Lazima tutoe fursa kwanza vyombo vilivyo chini yangu vifanye kazi kabla ya mimi kuzungumza
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment