Picha Na Matukio Wakiuaga Mwili Wa Marehemu Dr Elly Macha Leo Bungeni Dodoma.


Waziri mkuu kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakiwemo wa Bunge na wa dini mbalimbali wameshiriki katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA Dr. Elly Macha katika viwanja vya bunge Dodoma leo hii
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai pamoja na waziri Jenista Mhagama wakati wa kuupokea mwili wa Dr. Macha.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment