Katika mchezo huo Simba ilifungwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Kaitaba ambapo sasa Wekundu hao wamefikisha pointi 61.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Hamad Yahaya amewaambia waandishi wa Habari kuwa baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye kila kitu kimepatikana na Simba imepewa pointi hizo.
“Najua maamuzi haya yatawaumiza wengi na yatawafurahisha wengi pia lakini hiyo ndiyo hali halisi,” alisema Yahaya.


0 comments :
Post a Comment