Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa alikuwa mmoja waliowasilisha mada kwenye Kongamano Maalumu la Maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.
Katika Komngamano hilo lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, walikuwepo pia viongozi mbalimbali wastaafu wakiwemo Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mama Anna Makinda na Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba.
Bonyeza play kutazama…
Part I
Part II
Part III
Part IV
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.



0 comments :
Post a Comment